Tuesday, March 31, 2009












Raisi Obama akiongozana na mkewe, leo wameondoka nchini Marekani kuanza ziara ya siku nane ikiwa ni ziara yake ya kwanza ya nchi za Ulaya baada ya uchaguzi. Raisi Obama atazitembelea nchi tano, Uingereza, Ufarasa, Ujerumani, Turkey na Jamuhuri ya Czech pamoja na kuhudhuria mkutano wa kujadili hali mbaya ya uchumi duniani na pia kukutana na viongozi wanaojumuisha nchi zinazounda NATO.
Pichani wanaonekana wakielekea kupanda helikopta ya Marine One iliyowachukua Adrews Air Force base mjini Maryland kupanda Air force One.


3 comments:

  1. Msishangae shangae mahaba ya wenzenu.

    ReplyDelete
  2. Ndugu hatushangai bali ndio kujifunza!

    ReplyDelete
  3. Lakini lazima tukubali kwamba wanapendeshana!!

    ReplyDelete