Wednesday, April 29, 2009

Haya tena kwa wale mlio Ughaibuni na mliobahatika kusoma shule ya msingi Bunge Jijini Dar es salaam nawaletea kumbukumbu ya nembo ya shule yenu.

1 comment:

  1. Naomba uniwekee Zanaki primary na Zanaki secondary nitashukuru sana. Zilikuwa zikiitwa Aghakhan girls primary na Aghakhan girls secondary. Asante.

    ReplyDelete