Monday, April 20, 2009




Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa yale mashindano ya mbio za Boston Marathon yalifanyika leo na Deriba Merga wa Ethiopia kuibuka mshindi kwa upande wa wanaume na Salina Kobgei wa Kenya kwa upande wa wanawake. Salina alichuana vikali sana na Dire Tune wa Ethiopia mpaka sekunde za mwisho.

No comments:

Post a Comment