Wednesday, April 1, 2009

Hukumu imetolewa kwa watu watatu ambao wanasadikiwa kuhusika na mauaji ya mwanamusiki wa Kimataifa wa musiki wa ragga toka Afrika ya Kusini bwana Lucky Dube. Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Senu Moshindi wa Mahakama Kuu huko South Ganteng jijini Johannesburg. Pichani wahutumiwa hao toka kushoto ni: Sifiso Mhlanga, Julio Shirindza na Mbuti Mabe.

No comments:

Post a Comment