HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, April 25, 2009
Maraha ya Bongo ni pamoja na hii ya kunywa na kula nyama choma kwenye vi-bar vya kando kando mwa barabara huku ukitupia macho mambo yanaendaje mtaani.
No comments:
Post a Comment