HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Tuesday, April 21, 2009
Mategemo ya Taifa la kesho. Hawa wanaitaji sana kujengewa msingi mzuri wa elimu na malezi bora ili waweze kupambana na hali ya maishani ya kijiji cha Dunia ya kesho.
No comments:
Post a Comment