Friday, April 10, 2009

Mdau akiparamia dala dala la Ubungo - Msasani. Mimi nadhani ili kupunguza vurugu za haya madala dala, inabidi Serikali ya Jiji iyawekee utaratibu mzuri mojawapo ikiwa ni muda(interval) wa kuchukua abiria vituoni. Hii inaweza kuondoa ile tabia ya kuwahi abiria vituoni ambayo husababisa ajali na foleni kubwa mabarabarani.

No comments:

Post a Comment