HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, April 27, 2009
Mitaa ya Kariakoo Jijini Dar es salaam inabadilika kila kukicha. Pembeni kwa chini upande wa kulia ni soko kuu la Kariakoo.
No comments:
Post a Comment