Wanaomunga mkono mgombea wa uraisi wa ANC bwana ZUMA, wakishangilia matokeo ya maamuzi ya mwendesha mashtaka kuondoa madai ya kumfikisha mahakamani bwana Zuma na kwamba hana tena kesi ya kujibu. Uamuzi huu unampa nafasi kubwa ya ushindi kwenye uchaguzi ujao wa April 22, wa raisi wa Afrika ya kusini.
No comments:
Post a Comment