Wanyarwanda na Dunia kwa ujumla leo inaazimisha miaka 15 ya kumbukumbu ya mauaji ya watu 800,000 wa Rwanda ya mwaka 1994. Hatutasahau jinsi Dunia ilivyokiachia kitendo hiki kutokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kukizuia au kupunguza ukubwa wa janga hili. Warwanda waliachwa wauwane wenyewe kwa wenyewe huku mataifa makubwa yenye uwezo wakiwafumbia macho kana kwamba Rwanda haikuwa katika jamii ya Kimataifa. Pamoja na yote yaliyotokea, wananchi wa Rwanda wameweza kuweka pembeni chuki baina yao na kutambua kuwa msamaha ndio njia ya kwenda mbele kuijenga tena Rwanda. Hongereni!!!
Tuesday, April 7, 2009

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment