Monday, April 27, 2009

Watu wetu walio wengi bado wanaishi katika vijumba kama hiki pichani, wakati huo huo wawakilishi wao(Waheshimiwa Wabunge) wanaagiziwa magari ya gharama. Mategemeo ya wengi ni kwamba baada ya Uhuru wa mwaka1961 hadi kufikia wa leo(2009), nchi yetu ingekuwa imepiga hatua kubwa, na mojawapo ni kusaidia kuwapatia makazi bora wananchi wake, haswa haswa huko vijijini.

No comments:

Post a Comment