Friday, May 22, 2009

Raisi Bingu wa Mutharika leo siku ya Ijumaa ameapishwa tena kuwa raisi wa Malawi kwa kipindi kingine katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre. Ameahidi kuendeleza jitihada zake katika kuinua uchumi wa Malawi na kusaidia masikini.

No comments:

Post a Comment