Friday, May 1, 2009

Soka la enzi hizo... Kipa aliyekuwa hodari sana, Athumani Mambosasa akinyaka mpira toka kwa Kitwana Manara. Msaada kwa atakae mtambua huyu jamaa wa tatu.

No comments:

Post a Comment