Katika Jiji la Arusha mikokoteni mabarabarani ni jambo la kawaida kabisa. Wengi wa wafanya biashara wa mjini hapo uyatumia zaidi kwa kusafirisha bidhaa zao kwani ni rahisi zaidi kuliko kukodi gari. Je! hawa wenye mikokoteni ianapashwa wayaandikishe na kutozwa kodi?
No comments:
Post a Comment