Thursday, June 4, 2009


Uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta ni mkubwa kuliko yote katika Afrika Mashariki na ya Kati. Leo serikali ya Marekani kupitia wizara yake ya mambo ya ndani imeamua kusimamisha ule mpango wa shirika la ndege la Delta kuwa na safari za moja kwa moja toka jijini Atlanta, Marekani na Nairobi, Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa hali hafifu ya usalama katika wanja hilo.

No comments:

Post a Comment