Monday, July 27, 2009

Kuuliza si ujinga... hivi ni nani ana umiliki na jina la mlima wetu wa Kilimanjaro? Je! biashara zinazotumia jina hili, zinahitaji idhini au ndiyo haki yetu sote?

No comments:

Post a Comment