Tuesday, July 21, 2009

Ukiwa Bongo unapaswa kuwa mwangalifu kuhusu kituo kipi cha mafuta upate huduma, kwani vituo vingi vina mchezo wa kuchanganya mafuta ya taa na dizeli au petroli ili kupata faida zaidi. Vituo ambavyo bado havina sifa hiyo mbaya ni hivi vya BP.

No comments:

Post a Comment