Saturday, August 22, 2009


Kama watoto wetu wataendelea kupatiwa elimu katika hali ya namna hii, basi tujue kabisa uwenda tukafika mahala Taifa letu likakwama.

1 comment:

  1. Labda walikuwa kwenye majadiliano ya vikundi (group discussion)!

    Kuna methodolojia nyingi za kufundisha!

    ReplyDelete