Saturday, August 22, 2009


KIGOMA!!

1 comment:

  1. Dr. Livingstone, I presume? Mr. Fundi, hio inasemekana ndio kauli ya explorer maarufu duniani Henri Morton Stanley alipokutana na Dr. Livingstone Ujiji-Kigoma mwaka 1869.

    Cha ajabu ni kwamba serikali yetu umeusahau mkoa huu maarufu nchini mwetu. Asante sana kwa kutuletea kumbukumbu kama hizi, na ambazo ni muhimu kwenye historia yetu.

    ReplyDelete