Sunday, August 30, 2009







Leo Jumapili raia katika nchi ya Gabon wanapiga kura kumchagua nani atakirithi kiti kilichoachwa wazi na marehemu Omar Bongo ambae alitawala kwa miaka 41 kabda kufariki kwake Juni mwaka huu. Ali Bongo Ondimba(50), ambaye ni mtoto wa marehemu Omar Bongo, ndiye anayedhaniwa kwamba ataibuka mshindi.
Kama na sisi tutafata mkumbo huu, basi ni kwamba sisi akina Yakhe hatutauona uongozi wa nchi zetu. Viongozi wetu wengi tayari wanawaandaa vijana wao watakaoendeleza majina ya wazee wao pindi watakapo acha uongozi. Ufalme na Uchifu hauwezi kufa!!!!!!!!!!



No comments:

Post a Comment