Monday, August 10, 2009

Ningependa kuuliza swali! Hivi hizi nazi tunazoziona huku Marekani na sehemu nyingine za Ulaya inabidi vifuliwe kama tunavyofanya kule Bongo au kuna mashine ya kufanya hivyo?

No comments:

Post a Comment