Saturday, August 1, 2009


Raisi wa zamani wa Philippines Bibi Corazon Aquino afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 76. Itakumbukwa kuwa yeye ndiye aliyeleta democrasia nchini humo baada ya kumuondoa madarakani dikiteta Ferdinand Marcos.

No comments:

Post a Comment