Friday, September 4, 2009

FUNDIWAKOMBO
YATIMIZA
“MWAKA MMOJA

NAPENDA KUTOA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI KWA WADAU WOTE POPOTE MLIPO KWA KUWA PAMOJA BEGA KWA BEGA KATIKA KUENDELEZA LIBENEKE. NAWAOMBA TUZIDI KUWA PAMOJA KWA KUENDELEA KUTEMBELEA BLOGU HII NA VILE VILE KUITANGAZA KWA JAMAA NA MARAFIKI.
NAWAOMBA MUWE HURU KUTUMA MAONI, MIJADALA, NA MATUKIO KATIKA PICHA ILI TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPASHANA HABARI.


asanteni
- Fundi Ramadhani -


No comments:

Post a Comment