HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, September 18, 2009
Hawa ndio viongozi wetu wanaoingoza Bongoland na tunapaswa tuwajue ili kama mambo yakienda kombo tuweze kuwauliza na vile vile kama mambo mswano basi tusiache kuwapongeza.
No comments:
Post a Comment