Haya ndiyo makazi ya Mtanzania mwenzetu mmoja, yeye pamoja na mkewe na watoto wao wanne. Je! imekuwaje impaka ikawa hivi? Jibu ni kwamba waliondolewa kwenye makazi yao ya asili huko Kahama na jamaa wanaojitajirisha na uchimbaji wa Dhahabu. Je! ni mpaka lini tutayafumbia macho mambo kama haya?
No comments:
Post a Comment