Tuesday, September 29, 2009

Hii ni barabara inayopita kando ya soko kuu la Arusha, lakini tizama wachuuzi walivyoiziba... ni mpangilio na usimamizi mbaya wa baadhi ya majiji yetu.