Monday, September 21, 2009

Kutoka kwenye Kumbukumbu za Fundi wa Kombo
Ingawa kwa sasa mimi ni mpinga rushwa, lakini sikumbuki kama huyu Kalasinga nilimuachia. Simnajua tena njaa tuliyokuwa nayo miaka hiyo ya mwanzoni mwa 1980's. Nahisi ni lazima nilimtoa kitu kwa kumgongea hako kamuhuri!

No comments:

Post a Comment