Thursday, September 17, 2009

Kama magari yataendelea kuagizwa kwa wingi hasa pale Dar, nadhani itabidi tuwe na sehemu nyingi kama hii ili kupunguza msongamano wa magari katikati ya jiji kutokana na uegeshaji magari kiolela.

No comments:

Post a Comment