HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Wednesday, September 9, 2009
Kipindi cha Summer ndio kinafikia ukingoni kwa mwaka huu, hivyo basi kila aliye na nafasi ya kufurahia hali nzuri ya hewa huu ndio wakati wenyewe. Pichani watu kibao wakikatiza Times Squares na barabara ya 47 Jijini New York.
No comments:
Post a Comment