Monday, September 21, 2009

Kutoka kwenye kumbukumbu za Fundi wa Kombo
Toka kulia, rafiki wa Chief Gonga(jina sikumbuki), mimi, Chief Gonga, Njange na kina dada waliokuwa wamejikalia meza ya pembeni. Hii ilikuwa mwaka 1985, New Arusha Hotel mjini Arusha. Ukitizama kwenye meza utaona kuwa bia ilikuwa inanywewa ni ya aina moja tu! Hiyo pia kuipata ulikuwa unashukuru Mungu, lakini siku hizi - chaguo lako.

No comments:

Post a Comment