HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, September 14, 2009
Mojawapo ya vitu tunavyovikosa huku ugenini ni haya mahindi ya kuchoma yauzwayo kando kando mwa mabarabara. Nyumbani ni nyumbani na kuna vitu na mambo ambayo huwezi "ku-duplicate" huku ugenini.
No comments:
Post a Comment