Thursday, September 24, 2009

MZIGO KICHWANI!





Kwa kina mama wa Kiafrika, kubeba mzigo kichwani ni kitu cha kawaida kabisa na ni mojawapo ya utamaduni uliotanda Afrika yote. Sina uhakika ni matokeo ya baadae baada ya kuwa wanabeba hii mizigo kwa kipindi kirefu. Je! kuna madhara yeyote yanayotokana na zoezi hili kwa afya za hawa kina mama? Wataalamu mnatuambiaje kwenye hili?




No comments:

Post a Comment