Saturday, September 26, 2009
Nchini Indonesia amezaliwa mtoto ambaye anasadikiwa kuwa mzito kuliko mtoto yeyote kwa kuzaliwa duniani. Mtoto huyu ambaye alizaliwa tarehe 21 Septemba kwa kutumia njia ya upasuaji, ana uzito wa paundi 19.2(kilo 8.7), na urefu wa sentimeta 62(inchi 24.4). Picha ya chini, anaonekana akiwa na mtoto mwenzake mwenye uzito wa kawaida.