Wednesday, September 9, 2009


Taifa la kesho ambalo Mafisadi na baadhi ya viongozi wetu wabovu wanaendelea kuwaharibia maisha yao ya baadaye wakiweka mbele ubinafsi badala kutekeleza yale tuliyowakabidhi kuyafanya ambayo ni kuinua maisha ya kila Mtanzania hasa hasa kina mama na wototo.

No comments:

Post a Comment