Wednesday, October 7, 2009

Hivi ni kwa nini Halimashauri na Manispaa ya miji mingi inashindwa kukarabati mabarabara huko mitaani? Au ndio kusema hizi pia zinasubiri wafadhili toka nje?