HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, October 11, 2009
Jana siku ya Jumamosi tarehe 10 October, 2009, Mtanzania Rogers Mtagwa alipambana vikali na Juan Manuel Lopez wa Puerto Rico katika pambano la ubingwa wa WBO Super Bantamweight lililofanyika jijini New York katika wanja la Madison Square Garden. Bahati mbaya bahati haikua yake kwani majaji kwa pamoja walimpa ushindi Lopez hivyo kumfanya aendelee bado kushikilia ubingwa huo.
No comments:
Post a Comment