Friday, October 23, 2009
Mama Michelle Obama akiruka kamba na kula hula hoops na watoto katika viwanja vya Jumba Leupe katika harakati zake za kuwahamasisha watoto kujenga afya nzuri kwa kushiriki kwenye michezo mbali mbali.