Wednesday, October 21, 2009Mataifa mengi yaishiyo hapa New York kila mwaka usheherekea na kujivunia utaifa wao. Hata majirani zetu wa Kikenya ufanya vijisherehe wakati wa uhuru wao, lakini sisi Wabongo bure kabisa!! Pichani ni Wadominican wakisherekea siku yao.