Monday, October 19, 2009

Si kwamba hakuna sheria, la hasha zipo ni basi tu, lakini bado kuna jamaa wanaokwenda mpaka 120 Kph tena na mijigari yao mikubwa.