Friday, October 2, 2009


"Ukipewa kazi ya watu basi unaifanya na si kubabaishababaisha"
Mungu amlaze pema peponi.
Nadhani angekuwepo pengine neno ufisadi lisingekuwa linatawala vinywa vyetu na kutupa karaha tuliyonayo.
Ni lini atatokea mwingine kama huyu?