Thursday, October 29, 2009

Wananchi wa Msumbiji jana (28/10/2009) walipiga kura katika uchaguzi mkuu wa pili toka uhuru, na hali ilivyo ni kwambai raisi wa sasa Armando Emilio Guebuza anategemewa kushinda tena na kuendelea kuwa madarakani. Upinzani mkubwa ni kati ya chama tawala cha Frelimo na Kile cha upinzani Renamo.