Friday, November 27, 2009


Bwana na bibi waliovamia mnuso wa Jumba Jeupe bila mwaliko wakati wa chakula kwa heshima ya Waziri Mkuu wa India. Makachero wa Secret service wanahaha kutaka kujua ilikuwaje?