Tuesday, November 24, 2009

Hii ilikuwa ni mara yangu ya mwisho naonana na ndugu zangu wapenda Ramadhani na Kasimu kabla hawajatutoka. Inshallah Mwenyezi Mungu atawafariji na kuwalaza pema peponi. Ramadhani alitutangulia mbele za haki mwaka 2004, na bwana Kasimu 2005. Kutoka kushoto: Kasimu, mama, mimi na Ramadhani.