Monday, November 9, 2009

Ingawa Jijini Dar kuna Hosipitali nyingine nyingi, kama vile Muhimbili, lakini kwa watoto wa mjini pale Dar ni fahari zaidi kuzaliwa Ocean Road(pichani juu). Je! hivi hii ni kwa nini?