Wednesday, November 25, 2009





Kina mama wakiwa harusini wakisubiri mambo ya msosi na rusha roho. Hivi ndivyo harusi za Kimwambao zilivyo.




1 comment:

  1. Mbona wanaonekana kama wana huzuni maskini. Maana ukiangalia hata gestures za zinasikitisha. Lakini ndio watu wa tanga walivyo sometimes wanakuwa kama wageni kwenye shughuli. Nimekumbuka sana nyumbani Tanga.

    ReplyDelete