Tuesday, November 3, 2009

KWA WADAU WOTE!!

SAMAHANI KWA KUTOKUWA MTANDAONI KWA KIPINDI CHA SIKU KADHAA KWA KUWA NILIKUWA SAFARINI MJINI COLUMBUS, OHIO AMBAKO NILIKWENDA KUMUUGUZA MDOGO WANGU MPENDWA SALEHE KOMBO ALLY MAKANYAGA AMBAYE SIKU YA ALHAMISI TAREHE 29 OCTOBA 2009 ALIPATA "STROKE" (KIHARUSI) ILIYOTOKANA NA HIGH BLOOD PRESSURE(SHINDIKIZO LA DAMU) YAKE KUWA JUU SANA. ILIBIDI AFANYIWE SURGERY YA HARAKA ILI KUOKOA MAISHA YAKE.

NINGEPENDA KUWAFAHAMISHA KWAMBA HALI YAKE INAENDELEA KUWA NZURI INGAWA BADO ATAKUWA NA KIPINDI KIREFU CHA MATIBABU.
NAWAOMBA TUMUOMBEE NDUGU YETU ILI APATE NAFUU NA KUPONA KABISA ILI TUWE NAE TENA KATIKA JAMII YETU. NAWAOMBA SALA NA MAOMBI YENU WAKATI WA KIPINDI HIKI KIGUMU.

-FUNDI WA KOMBO-