Thursday, November 19, 2009
Kwa watakao tembelea Jiji la New York katika kipindi hiki cha sikukuu, sehemu mojawapo nzuri ya kutembelea ni Rockeffer Center, ambapo mandhari yake uvutia sana na kunakuwa na shughuli nyingi za kufanya.