Monday, November 16, 2009

Mijini kweli kuna vituko! Sina uhakika kwamba kweli huyu Polisi akili yake imetulia kwenye kumuelekeza huyu dada njia... tazama macho yalipo elekea.