Tuesday, November 10, 2009

Mitaa hii pale Dar si chini ya miaka kumi itapata sura mpya kabisa, kwani mengi ya majumba/nyumba hizi zitakula nyundo. Wasi wasi mkubwa ni kwamba je! ujenzi wa majumba mapya pale katikati ya Dar yanakwenda sambamba na mfumo wa maji machafu na maji safi?