Monday, January 25, 2010



Algeria yaikwaruza Ivory Coast 3 - 2, katika muda wa nyongeza na kufanikiwa kusonga mbele kwenye nusu-fainali ya michuano ya kombe la nchi za Bara la Afrika inayoendelea nchini Angola.


No comments:

Post a Comment